Kwanini ghafla nimeanza kuupenda mziki wa Congo

Ipi ni ngoma kali ya Cong Rhumba


  • Total voters
    18

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448

pichani ni ngoma kali nilizozisikiliza zaidi 2023.

Katika miaka ya hivi karibuni, nimekuwa shabiki mkubwa wa muziki wa Kikongo, haswa kazi za Ferre Gola na Fally Ipupa. Walakini, hivi karibuni nimegundua kuwa nimevutwa na muziki wa Kilingala. Sijui ni nini kuhusu aina hii ya muziki ambayo imenivutia moyo wangu, lakini niko tayari kuijifunza zaidi.

Ningependa kusikia kutoka kwa wengine wapenzi wa muziki ambao pia wamegundua uzuri wa muziki wa Kilingala. Ni wasanii na nyimbo zipi unazopenda? Ni nini kuhusu aina hii ya muziki ambayo inazungumza nawe?

Natarajia kusikia kutoka kwenu wote!
 
Ukiona hivyo umeanza kuelewa burudani ni nini na kelele ni nini, nyimbo zetu hizo vijana wastaarab, Picha hii nikiwa na miaka 7 baba yangu na rafiki zake wakiwa wanaokoa sanduku la maiti lisichukuliwe na maji mtoni wakati huo baba kaniachia radio cassette yake nchi kavu nasikiliza ngoma za wenge bcbg kina ferre gola na wenzie.
 
😂😂😂😂😂Nimecheka kama fala.
Hebu niambie nyimbo zkao kali kabisa za muda wote.
 
Kama kweli unapenda Ngoma za kicongo tafuta zile zenyewe Acha hizo za kisasa... Tembea na Ngoma za kina Franco, papa wemba, Koffi Olomide, Madilu system Pepe Kale...
Tafuta haya mapini

Madilu system - Ya Jean
Franco - Kimpakisangameni
Koffi Olomide - Loi
 
Ongeza hapo
Mario-franco
Muzina-Tabu ley
 

Hizi Rhumba za madilu ni noma na nusu , Sensa ya papier na ya jean ni rhumba kali sana . Zamani nilikuwa simuelewi huyu mzee , huyu alikuwa new version ya franco
 
Kwenye hiyo list number sita ngoma imetulia sana""associe na ngaii,sijui Nini na Nini niniiii wewe weeee!
 
Sikiliza buruda wewe utakuja kunishukuru
 
Hizi Rhumba za madilu ni noma na nusu , Sensa ya papier na ya jean ni rhumba kali sana . Zamani nilikuwa simuelewi huyu mzee , huyu alikuwa new version ya franco
Sema Franco ndo legend aisee jamaa alikua anaimba Hadi Rais Mobutu anabaki Tu kukenua....

Kasongo ooooooh
Mubali na ngaiiii
 
Fally ipupa:
Hm
A flye
Afsana
Cane sucre
Antente
Prince de south fork
Associe
Messege
Mayday

Werra
Ali mayimona
Chantel switzerland
Vita imana
Ferre gora tafuta album yake mpya (hautojuta)
Ongezea 100 kilos,andy mputu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…