Kwanini ghafla nimeanza kuupenda mziki wa Congo

Ipi ni ngoma kali ya Cong Rhumba

  • Total voters
    18
Nahisi utakuwa umeanza kunywa mataputapu [emoji1787]...

Zamani walevi wa mnazi, boha, chimpumu etc walikuwa ndiyo washabiki wakubwa wa mziki wa Zaire aka Zairwaaa!
 
Afara Tsena - Afro Mabokalisation.
B one shakazulu - Le savoir.
Seriki - agbarumo .... Hawa Jamaa ni way wapi ?
 
Ongeza mh fally ipupa
 
Uzee umeanza kupiga hodi wallah vile
 
Nahisi utakuwa umeanza kunywa mataputapu [emoji1787]...

Zamani walevi wa mnazi, boha, chimpumu etc walikuwa ndiyo washabiki wakubwa wa mziki wa Zaire aka Zairwaaa!
Huujui muziki wa Zaire wewe, muulize masoud masoud wa TBC. Kulikuwa na miamba ya muziki acha kabisa.
 
Sema Franco ndo legend aisee jamaa alikua anaimba Hadi Rais Mobutu anabaki Tu kukenua....

Kasongo ooooooh
Mubali na ngaiiii
Hatimaye ngoma ya kasongo ikaja kua maarufua 2024 hahahah[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…