Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini.

Wanaweza wasielewe lakin wazee gharama za maisha zimepanda mnoooo... kwa mtu kama mimi mwenye family ya watu wa 5 tuu, naona jinsi life linavyonipelekea moto, sijui kwa wengine huko.

  • Kusomesha
  • Kula
  • GHarama za usafiri
  • Mavazi
  • Matibabu
  • Michango ya kijamii
  • n.k n.k

Mengineo ongezea mwenyewe.
 
Na bado utaongeza watoto wengine sababu kila mtoto huja na ridhiki yake na tuliambiwa tuzaliane tuijaze dunia, na ukizingatia fursa bado zipo nyingi na mapori bado yako mengi sana, halafu uanze kuilaumu serikali kwa kupandisha gharama za maisha na kushindwa kusomesha na kuajiri watoto wako..
 
Mkuu mbona umeni attack personally namna hii ?😂😂.
Yes nimekubali gharama zimepanda but hakuna mahala nimesema nimeshindwa kumudu hayo yote, especially ya watoto wangu. Na sijawah kuzaa kwa bahat mbaya wangu woote hao!. Na sitazaa tena maana mwaka jana ndio nimezaa last born na mwaka huu nimetimiza 34 years na nilishasema huo ndio umri wangu wa kumaliza uzazi
 
Back
Top Bottom