Wanaweza wasielewe lakin wazee gharama za maisha zimepanda mnoooo... kwa mtu kama mimi mwenye family ya watu wa 5 tuu, naona jinsi life linavyonipelekea moto, sijui kwa wengine huko.
- Kusomesha
- Kula
- GHarama za usafiri
- Mavazi
- Matibabu
- Michango ya kijamii
- n.k n.k
Mengineo ongezea mwenyewe.