Kwanini goal la Salah limekubaliwa na kuna VAR

Bianconeri

Senior Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
113
Reaction score
75
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashambulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera

Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwekwa chini?
 
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera

Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwa chini?
Wewe unajua sheria za mpira au unasikia na kuambiwa tu na watu?!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera

Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwa chini?
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee huu mwaka kuna watu watakufa ty kisa liver

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KWANN WANAPATA UKIMWI NA WANATUMIA
Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera

Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwa chini?
CONDOM
 
Kiherehere Cha goalkeeper kilimpa Advantage salaah ....haiwez kuwa offside coz goalkeeper alikuwa ametoka kwenye box lake hivo Basi alihesabika Kama mchezaji na sio goalkeeper Tena
Kama angekuwa ndan ya box lake (18") ilikuwa offside. Bianconeri
Actually game la Jana lilikuwa interesting sana kwetu sisi wafuatiliaj wa game watu wengi waliamini game ya Jana ilkuwa suluhu=sare but kukosekana kwa ✓Rashford kulifanya Liverpool kuwa na 60% ya kishinda dhidi ya man utd ....
Kama mlifuatilia game la Burnley na Leicester city the game else was tough than though .....vijana Wana mapafu aisee wanavuta upepo mkubwa wa kukimbiza ......vijana niliokuwa nmekaa nao wakawa wanaulza huku ndko atakuja kucheza MBWANA SAMATA? Jibu langu kwao lilkuwa ndio huku EPL nomanoma but ataitoa Villa mkiani hata smith anaamini hvo kwan samatta ni kiungo mfungaji mzuri. Japo kazi ipo kule EPL
BURNLEY Jana alkuwa anacheza kana kwamba wameacha gari nje ya geti na driver anawapigia horn kwamba harakisheni ntaondoka aisee
 
Sio offside goli la MO

nikweli Juan Mata alikuwa offside na nakibendela alinyoosha mkono kuashilia offside wengi wanajiuliza na kulalamika kwann refa hakusema mpila uwekwe chini na upigwe?

kwakuwa mpila ulikuwa mikononi mwagolikipa na kulikuwa hakuna madhara yeyote yale kulikuwa hakuna haja ya kuweka chini mpila upigwe.

Na MO hakuwa offside alikuwa yupo katikati ya mstari wa kati (half) kwahiyo ilikuwa sio offside ulikuwa ni uzembe wa beki za Man kumuacha pekeyake MO.
 
Watu mna vichwa vigumu soma post kabla hujacomment
 
Mbona kwenye goal kick huwa hakuna madhara lakini mpira unawekwa chini?
 
Watu mna vichwa vigumu soma post kabla hujacomment
Katka watoa maada wajinga na ww umo mkuu....au unataka lisiwe goal kwa sababu zako za kijinga? Ushaambiwa goalkeeper katoa assist nkwambieje Tena? Fala kweli mnaobet
 
Back
Top Bottom