Bianconeri
Senior Member
- Nov 24, 2019
- 113
- 75
Wewe unajua sheria za mpira au unasikia na kuambiwa tu na watu?!!!Naomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera
Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwa chini?
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee huu mwaka kuna watu watakufa ty kisa liverNaomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera
Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwa chini?
CONDOMNaomba kuuliza ni kwa nini goal la pili pa Salah limekubaliwa? wakati kuna VAR. Maana wakati United wanashulia Mata alikuwa offside na linesman alishanyoosha kibendera
Inakuwaje offside kick inapigwa bila mpira kuwa chini?
watu walioletwa na betting kushabikia mpira utawajua tu
Wewe unajua sheria za mpira au unasikia na kuambiwa tu na watu?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mshabiki Wa Liverpool lakina pale hakuna offside kwa sababu half box ya man u ilikua haina mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Niambie sheria inayoruhusu mpira wa foul kuanzishwa kwa mikono ukiachana na throw inWewe unajua sheria za mpira au unasikia na kuambiwa tu na watu?!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunifahamisha. Maana ninavyoelewa kicks zozote lazima mpira uwekwe chiniWanasema eti advantage
Ni hujui kusoma au?Mimi sio mshabiki Wa Liverpool lakina pale hakuna offside kwa sababu half box ya man u ilikua haina mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiherehere Cha goalkeeper kilimpa Advantage salaah ....haiwez kuwa offside coz goalkeeper alikuwa ametoka kwenye box lake hivo Basi alihesabika Kama mchezaji na sio goalkeeper Tena
Kama angekuwa ndan ya box lake (18") ilikuwa offside. Bianconeri
Actually game la Jana lilikuwa interesting sana kwetu sisi wafuatiliaj wa game watu wengi waliamini game ya Jana ilkuwa suluhu=sare but kukosekana kwa ✓Rashford kulifanya Liverpool kuwa na 60% ya kishinda dhidi ya man utd ....
Kama mlifuatilia game la Burnley na Leicester city the game else was tough than though .....vijana Wana mapafu aisee wanavuta upepo mkubwa wa kukimbiza ......vijana niliokuwa nmekaa nao wakawa wanaulza huku ndko atakuja kucheza MBWANA SAMATA? Jibu langu kwao lilkuwa ndio huku EPL nomanoma but ataitoa Villa mkiani hata smith anaamini hvo kwan samatta ni kiungo mfungaji mzuri. Japo kazi ipo kule EPL
BURNLEY Jana alkuwa anacheza kana kwamba wameacha gari nje ya geti na driver anawapigia horn kwamba harakisheni ntaondoka aisee
Mbona kwenye goal kick huwa hakuna madhara lakini mpira unawekwa chini?Sio offside goli la MO
nikweli Juan Mata alikuwa offside na nakibendela alinyoosha mkono kuashilia offside wengi wanajiuliza na kulalamika kwann refa hakusema mpila uwekwe chini na upigwe?
kwakuwa mpila ulikuwa mikononi mwagolikipa na kulikuwa hakuna madhara yeyote yale kulikuwa hakuna haja ya kuweka chini mpila upigwe.
Na MO hakuwa offside alikuwa yupo katikati ya mstari wa kati (half) kwahiyo ilikuwa sio offside ulikuwa ni uzembe wa beki za Man kumuacha pekeyake MO.
Katka watoa maada wajinga na ww umo mkuu....au unataka lisiwe goal kwa sababu zako za kijinga? Ushaambiwa goalkeeper katoa assist nkwambieje Tena? Fala kweli mnaobetWatu mna vichwa vigumu soma post kabla hujacomment
Mjinga ni wewe unayecomment usichokijuaKatka watoa maada wajinga na ww umo mkuu....au unataka lisiwe goal kwa sababu zako za kijinga? Ushaambiwa goalkeeper katoa assist nkwambieje Tena? Fala kweli mnaobet
Ungekuwa unajua maana ya advantage usingeuliza hili swali.Mbona kwenye goal kick huwa hakuna madhara lakini mpira unawekwa chini?