Kwanini Google inawaonea waTanzania hivi??

mi mwnywe naona ...labda ni vile wazungu wanaowaonea vile wao wana practise ujamaa...
naona sisi capitalist tumepewa favour sana karibia kila kitu...hata GDP yao iko sawa na ya egypt...
 
Lakini Google si watu wazuri
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini. Kiufupi ni teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant search engine result pages (SERP ).

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated content sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania, kwa hiyo google inatoa results zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na zako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007. Kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.

 
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
hahahaaaa...kwhyo ukiwa marekani ukim search rais wa north korea itatoa data tofauti kuliko yule jamaa aliye i search akiwa kenya....kwel elimu ya tanzania ni majanga
 
Kitu ingine hawajuagi ni kuwa google ni search ingine, inatoa taarifa kutoka blogs mbalimbali, hawajui kuwa hata mm naeza fungua blog Yangu nikaandika uwongo alafu ukaingia google ukaisearch ukaipata,
 
vilaza tu ndo ambao hawatakuelewa
 
Umeshawahi kuweka 4k video kwenye itel ya gb 1,storage???, ndio hiki umefanyia wakenya leo.

Hayashiki kitu.
 
MKORINTO...gb 1 ni nn?
google data za uongo huaga ni tanzania tu...na chamoto usitufanye km hatujawai toka nje ya nchi bana
 
hahahaaaa...kwhyo ukiwa marekani ukim search rais wa north korea itatoa data tofauti kuliko yule jamaa aliye i search akiwa kenya....kwel elimu ya tanzania ni majanga
I never know you people don't know these things, am shocked, the searching results are different geographically and other sorts of cyber technicalities ni kama trending feeds kwenye social media, do you think YouTube Trending videos of Kenya are exactly the same as Tanzania?

Fool go school
 
😂😂😂 hii inaitwa technical knockout(TKO) wewe hakika hauendi mbinguni😂😂😂
 
Huu ni uonevu!! Umemfanya jamaa aonekane bado yupo chekechea (vidudu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…