Sasa na wewe Kolo unasikitika?inasikitisha kwa kweli
inasikitisha kuona wazawa wenzetu toka Iringa na Moro wananyanyaswa na waarabu na wasomali
Manara aache kupiga kelele watu wanakula au hajui utaratibu wa mezaniNilijua tu hii menu ya mchana wa leo italeta mijadala.View attachment 1950907
acha kutafuta umaarufu kupitia mimi
Na kina magoma nao umewasahau mkuuKuna jambo naliona Yanga sio zuri kwa mustakabal wa timu ya Yanga.
Kwenye mambo mengi gsm wamekua hawawapi nafasi viongozi wa Yanga akiwemo Dr.Msola,Mwakalebela na viongozi wengine wa Yanga.
Pamoja na viongozi hao wa Yanga Dr.Msola na wengine kuunda kamati ya mashindano siku za hivi karibuni inayojumuisha watu wenye pesa na uwezo wa kukabiliana na figisu hujuma dhidi ya Yanga wakiwemo Abdallah Bin Kleb,Seif Magari na Davis Mosha lakini bado naona gsm anakaba mpaka penati.
Kumbuka gsm ni mdhamini tu,Yanga kama club inauongozi wa kikatiba wa club.
Nawasilisha.
View attachment 1950903
nani kakupa mamlaka ya kunipangia cha kusikitikia?
Je huufahamu mamlaka zinatoka kwani?nani kakupa mamlaka ya kunipangia cha kusikitikia?
Zahera ana majukumu gani ss hivi Utopoloni?Nilijua tu hii menu ya mchana wa leo italeta mijadala.View attachment 1950907