DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
FactThe only member kutoka ccm ambae amedhutu kuhoji. The rest wako kimya
Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii , kisiasa , kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa political mileage au anatufa Personal interest.
Kwahiyo angeamua kukaa kimya asiongee chochote kuhusu utekaji bado asingepoteza chochote na angeendelea kuwa safe tu.
Ila yeye kuongea ameonekana ni mzalendo kwakuwa amejaribu kuvaa viatu Vya wanaopitia hayo madhira .
Kwa UPENDO Gwajima anastahili pongezi Sana .
Kuhusu mnaosema anapuliza na kuuma jibu ni hapana Ila anauma Ila alichofanya ni kutumia lugha ya kifalisafa zaidi.
Watu wenye Elimu ya theolojia au walisoma philosophy wanelewa haya mambo .
Unapozungumza ni sawa na MTU anayejenga Nyumba ya kuishi hauwezi kuweka mlango mmoja tu wakuingilia bila kuweka na wakutokea .
The guy is smart.
Absolute ,✊🏿Hapa umeongea kwa akili. Gwajima ni mtu very smart. Jana ametumia lugha Rahisi lakini Ngumu. Na alikuwa akichagua maneno akishutumu kwa akili na ameweka wazi Mhusika ni nani. Hakuweka siri kaweka wazi. Ukimsikiliza kasema kabisa mhusika ndiye mteuzi na ana kikundi ambacho wakikiona wanasema hiii.... Hapana. Gwajima ni msomi.
Hakikanaziomba mamlaka za juu zilitizame hili kwa maslai ya taifa
Ancle hapo pana mambo mawili.Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).
Kwa nafasi aliyonayo Gwajima kuanzia Kijamii , kisiasa , kiuchumi.
Sifikirii Kama anatafuta umaarufu , na sifikirii Kama anatufa political mileage au anatufa Personal interest.
Kwahiyo angeamua kukaa kimya asiongee chochote kuhusu utekaji bado asingepoteza chochote na angeendelea kuwa safe tu.
Ila yeye kuongea ameonekana ni mzalendo kwakuwa amejaribu kuvaa viatu Vya wanaopitia hayo madhira .
Kwa UPENDO Gwajima anastahili pongezi Sana .
Kuhusu mnaosema anapuliza na kuuma jibu ni hapana Ila anauma Ila alichofanya ni kutumia lugha ya kifalisafa zaidi.
Watu wenye Elimu ya theolojia au walisoma philosophy wanelewa haya mambo .
Unapozungumza ni sawa na MTU anayejenga Nyumba ya kuishi hauwezi kuweka mlango mmoja tu wakuingilia bila kuweka na wakutokea .
The guy is smart.
Risk ni ileile bora kaongea sula kaongelea wapi halina mashikoTapeli huyo unasubir uchaguz ukarbie ndo unatoka hadharani kuongea
Kwann asingesema kule bungeni
Ukimtazama Mwanamke Kama chombo utasema wanawake hawana akili Ila ukimtazama Kama MTU utaona ikiwa yaliyomo yao au hayamo kijana wa Mwalimu NyerereSiasa ni akili, ndicho alichokifanya jamaa
HakikaRisk ni ileile bora kaongea sula kaongelea wapi halina mashiko
Unapozungumza ni sawa na MTU anayejenga Nyumba ya kuishi hauwezi kuweka mlango mmoja tu wakuingilia bila kuweka na wakutokea .Hizi ndo sababu zangu kwamba this guy is patriotic (Mzalendo).