makkyson Member Joined Oct 6, 2018 Posts 26 Reaction score 22 Aug 26, 2022 #1 Habari,,, naomba msaada wakujua kwanini gypsum inachanika baada ya kufungwa.? kwa mafundi ambao wanajua naomben msaada wa mawazo
Habari,,, naomba msaada wakujua kwanini gypsum inachanika baada ya kufungwa.? kwa mafundi ambao wanajua naomben msaada wa mawazo
Scrum Master JF-Expert Member Joined Apr 28, 2021 Posts 243 Reaction score 424 Aug 26, 2022 #2 makkyson said: Habari,,, naomba msaada wakujua kwanini gypsum inachanika baada ya kufungwa.? kwa mafundi ambao wanajua naomben msaada wa mawazo Click to expand... Ni ya brand gani kwanza? Weka na picha ikibidi.
makkyson said: Habari,,, naomba msaada wakujua kwanini gypsum inachanika baada ya kufungwa.? kwa mafundi ambao wanajua naomben msaada wa mawazo Click to expand... Ni ya brand gani kwanza? Weka na picha ikibidi.
makkyson Member Joined Oct 6, 2018 Posts 26 Reaction score 22 Aug 26, 2022 Thread starter #3 Scrum Master said: Ni ya brand gani kwanza? Weka na picha ikibidi. Click to expand...
Banjuka JF-Expert Member Joined May 7, 2021 Posts 1,007 Reaction score 1,922 Aug 26, 2022 #4 Hii imeachia haijachanika. Sent using Jamii Forums mobile app
edward93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 562 Reaction score 1,347 Aug 26, 2022 #5 makkyson said: View attachment 2335238 Click to expand... Hapo shida alikua fundi sio gypsum mzee.
jumanne12 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 419 Reaction score 275 Aug 26, 2022 #6 makkyson said: View attachment 2335238 Click to expand... Hapo tatizo ni fundi
Scrum Master JF-Expert Member Joined Apr 28, 2021 Posts 243 Reaction score 424 Sep 2, 2022 #7 makkyson said: View attachment 2335238 Click to expand... Fundi wako kazingua
G-Funk JF-Expert Member Joined Feb 10, 2022 Posts 2,398 Reaction score 5,554 Sep 2, 2022 #8 Hutakiwi kumtilia shaka daktari wa Gypsum. Kuchanika kuko kisheria