wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Ndio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini, n.k. mabilionea wa mambo ya IT hakuna?
Najua yupo Fernandez anakuja kwa spidi na apewe maua yake lakini huyu ana asili ya Asia kama kina Mo na kwao tayari ni mabilionea, Tuwazungumzie zaidi watanzania wa asili.
Najua yupo Fernandez anakuja kwa spidi na apewe maua yake lakini huyu ana asili ya Asia kama kina Mo na kwao tayari ni mabilionea, Tuwazungumzie zaidi watanzania wa asili.