wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
Benjamin FernΓ‘ndez si huyo hapo anatuwakilisha vyema na startup yake ya Nala, uko hapa JF coz ya Max so huyo hapo Max ingawa sijui net worth yake but am sure yuko vizuri... maswala ya technology ni mambo mapya hapa duniani hasa upande huo wa IT uliousema ndio maana ukirudi miaka 20 nyuma haukutani na hizi social media unazoziona leo so tuendelee kupambana am sure nasisi tutafika.Ndio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini, n.k. mabilionea wa mambo ya IT hakuna ??
Maxence Melo sitaki kuamini kwamba hadi Leo huna hata tubilioni tuwili. Kama huna nakiazima kamoja kakae tu kwenye account yako kwa wiki moja, kakisafishie nyotaNdio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini, n.k. mabilionea wa mambo ya IT hakuna ??
DharauMax Mello kama ana hata milioni 200 bank mniite mbwa,tatizo sio yeye bali wabongo JF haikutakiwa kuwa free,Members tungekuwa tunalipia 1000 kwa mwezi,sasa piga 1000*1000000=100,000,000...
Ben Fernandez ni suala la muda tu kuwa bilionea kutokana na techNdio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini, n.k. mabilionea wa mambo ya IT hakuna?
Nikuelimishe kwamba Jamii forums inaandaa mashindano kila mwaka ya stories of change kinawekwa kitita cha milioni 50.Max Mello kama ana hata milioni 200 bank mniite mbwa,tatizo sio yeye bali wabongo JF haikutakiwa kuwa free,Members tungekuwa tunalipia 1000 kwa mwezi,sasa piga 1000*1000000=100,000,000
Kwa mwaka ni bilioni 1
Ila mko tayari kulipia umbea wa mange kimambi..
Yule mpenzi wa zamani wa Kanye west alitengeneza emoj zenye sura yake unalipia,ndabi ya wiki mbili tu katengeneza kama bilioni 10 za kitanzania
Vijana wengi wanaendekeza starehe na kuliwa kande. Atawaza teknolojia saa ngapi?Umefeli sana mkuu, acha kulalamika. Sio lazima wote tuwe mabilione kwa IT, wengine ni wafugaji na inatutosha!
Sisi tunaweza uchuuzi wa bidhaa za hardware na simu za mchongoTechnology inahitaji innovation, we're not good enough.
ππππππππTatizo wabongo hatutaki kubadilika bado tunapenda kuishi kwa mifumo ya zamani.Ndio sekta inayotoa mabilionea wengi hasa vijana lakini naona kwa hapa bongo ni kama hawapo kabisa, gadi sasa kuna mabilionea walewale wa maduka ya hardware, makampuni ya utalii, mahoteli, madini, n.k. mabilionea wa mambo ya IT hakuna?
Najua yupo Fernandez anakuja kwa spidi na apewe maua yake lakini huyu ana asili ya Asia kama kina Mo na kwao tayari ni mabilionea, Tuwazungumzie zaidi watanzania wa asili.