KWANINI HAIWEZEKANI KUFUTA AKAUNTI ZA BETTING

Status
Not open for further replies.
Habari za jioni wadau.

Napenda kufahamu hivi ni kwanini kampuni za betting mtu akishafungua akaunti inakua haiwezekani tena kuifuta yaani hawana kabisa sehemu ya iwapo mtu amekoma kwa kuliwa pesa basi afute akaunti ajishughulishe na mambo mengine.
ngoja waje wajuzi wa betting hata mimi nilishindwa sportpesa
 
Sitisha kubet mkuu kama umekoma kuliwa pesa na wahindi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…