Kwanini haiwezekani mtu kujitoa DStv Business baada ya kujiunga?

Joined
Oct 4, 2021
Posts
8
Reaction score
2
Wadau hivi hawa DSTV wana watu wabunifu na competent kwenye biashara ya visimbuzi kweli?

Yaani kwanini uweze kujiunga na huduma ya DSTV BUSINESS halafu ukitaka kujitoa ishindikane yani kwamba ni lazima uendelee na hiyo huduma mpaka ukamilifu wa dahari.

Aisee it's a very weak gap kibiashara wanapaswa kujiangalia sana, otherwise Azam TV atawashika kila siku.

Mtu makini kama Baraka Shelukindo sijategemea kama anaendelea ku entertain kitu kama hiki kwenye upande wake wa masoko.

Jana niliongea na fundi mmoja wa DStv anasema Visimbuzi kibao huku mtaani watu wameachana navyo kisa hawataki hyo reverse ili decoder irudi ya domestic use kawaida.
 
Bila shaka na wewe ni miongoni mwa watu walioingia mkumbo wa kusajiliwa dstv business ili ulipe 28,000 afu ghafla wakawabadilikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…