Wapo mkuu, sasa kama ni tasa na analiwa kila siku utamjua? Wanao nasa mimba tunawajua baada ya tendo kujibu [emoji41] ila hao tasa hata akiliwa, hakuna jibu, yaani tendo halitoi jibu, na ndiyo maana umepata wazo la kusema hakuna beki tatu tasa, ila wapo.