Kwanini hakuna kauli kali kwenye kulaani mapinduzi yaliyotokea nchini Guinea?

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121
45C448097163B97F9A8E91524E1BDA0C136A0C60_size35_w554_h433.jpg

Katika miongo miwili iliyopita kulikuwa na mwelekeo mzuri sana katika nchi za Afrika, kwenye kufuata utaratibu wa katiba hasa linapokuja suala la kubadilisha madaraka. Utaratibu huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kubadilisha viongozi hakuwa chanzo cha kuleta vurugu na mapigano, ambayo hatimaye husababisha vifo vya watu na kuvuruga uchumi wa nchi za Afrika. Utaratibu huu ulisimamiwa vikali na Umoja wa Afrika, na hata kupongezwa na jumuiya ya kimataifa.

Lakini ajabu ni kuwa mwaka huu, kumetokea matukio matatu ya mapinduzi ya kijeshi barani Afrika. Moja ni lile lililotokea nchini Mali mwezi Aprili, na lingine ni lile lilitokea nchini Chad mwezi Mei, na lingine hili lililotokea mwezi huu wa Septemba nchini Guinea. Tofauti na miongo miwili iliyopita, matukio haya matatu ni kama hayajakosolewa vikali, na wala hakuna hatua kali zilizochukuliwa ili kuepusha matukio kama hayo kutokea tena, katika nchi hizo au katika nchi nyingine.

Pamoja na ukweli kwamba matukio kama haya yanakuwa na sababu za ndani, kumekuwa na wasiwasi kuwa kuna mkono kutoka nje unaochochea au kuhusika. Kwanza tukiangalia mwitikio wa jumuiya ya kimataifa kuhusu matukio haya matatu, kauli za ukemeaji zimekuwa nyepesi, na hazijafuatiwa na hatua zozote kama ilivyokuwa miongo kadhaa iliyopita.

Ofisa wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia sera za kidiplomasia Bw. Josep Borrel amelaani tukio hilo kwa njia ya Twitter, na kutaka Rais Alpha Conde aachiwa huru. Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imetoa taarifa ikisema tukio hili linaweza kuathiri jinsi Marekani na wadau wengine wa kimataifa watakavyoisaidia nchi hiyo kuleta mshikamano. Kauli hizi ni nyepesi ikilinganishwa na kauli zilizowahi kutolewa huko nyuma yanapotokea matukio kama haya. Kauli kali iliyosikika kukosoa mapinduzi hayo ni ile ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS na Rais wa Ghana Bw. Nana Akufo-Addo, aliyesema jumuiya hiyo inaweza kuiwekea vikwazo Guinea.

Kumekuwa na matukio mengine ya kuzusha maswali kuhusu mapinduzi haya. Kwenye mtandao wa twitter kuna picha inayosambaa ikimwonyesha kiongozi wa mapinduzi hayo Bw. Mamady Doumbouya akiwa pamoja na maofisa wa jeshi la Marekani. Na kwa kweli Bw. Doumbouya aliwahi kupata mafunzo kwenye chuo cha kijeshi cha Marekani na pia kulitumikia jeshi la Ufaransa.

Lakini pia mambo yaliyotajwa kuwa sababu kuu ya mapinduzi, kimsingi yanaonekana kuwa ni kisingizio na wala sio sababu ya mapinduzi. Umaskini, ufisadi na ugumu wa maisha uliotajwa na kiongozi wa mapinduzi, ni changamoto zilizopo katika nchi karibu zote za Afrika. Serikali za nchi za Afrika zimekuwa zikichukua hatua mbalimbali kupambana na changamoto hizo na kupata mafanikio kiasi. Kama kweli hizi ndio sababu za tukio lililotokea Guinea, basi ina maana mapinduzi yangetokea katika kila nchi.

Ukweli unaonyesha kuwa katika kipindi cha miaka 10 na zaidi iliyopita, wananchi wa Guinea walichapa kazi na kumekuwa na kila dalili ya kuwepo kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kwa ujumla wananchi wa Guinea waliridhika na serikali yao, na hali hii ilidhihirika kwenye uchaguzi mkuu uliopita, baada ya wananchi wa Guinea kumpa Bw. Conde ridhaa ya kuendelea kuwa rais wao. Kwa hiyo ni vigumu kujua kama kilichotokea ni uamuzi wa waguinea au ni mkono wa nje.
 
Wabongo bana. Nchi yenu imewashinda mnaanza kuponda ya wenzenu. Ww unaambiwa nchi imechukuliwa na wazalendo. Unatamani irudi kwa mabeberu
 
Unapunguza posho za walinzi,unajiongezea wewe na mabeki tatu wako halafu unategemea walinzi makuchekee tu!?Wewe ni nani!!Aende tu kwa kweli maana hakuna namna nyingine
 
Yaan mtu haheshim katiba, nchi inajawa umasikin, rushwa, mfumo walimu na afya zimechakaa

Alafu anabdili katiba aendelee kua madarakani. Kwa nguvu???

ENYI USA, UFARANSA, ULAYA, NATO NA MAJESHI YENU, NAOMBE MJE AFRIKA MASHARIKI PIA.
 
Huwezi kuongoza nchi kijinga kijinga halafu wenye akili wakakuangalia tu
 
Katika miongo miwili iliyopita kulikuwa na mwelekeo mzuri sana katika nchi za Afrika, kwenye kufuata utaratibu wa katiba hasa linapokuja suala la kubadilisha madaraka. Utaratibu huu ulikuwa na lengo la kuhakikisha kubadilisha viongozi hakuwa chanzo cha kuleta vurugu na mapigano, ambayo hatimaye husababisha vifo vya watu na kuvuruga uchumi wa nchi za Afrika. Utaratibu huu ulisimamiwa vikali na Umoja wa Afrika, na hata kupongezwa na jumuiya ya kimataifa.

Lakini ajabu ni kuwa mwaka huu, kumetokea matukio matatu ya mapinduzi ya kijeshi barani Afrika. Moja ni lile lililotokea nchini Mali mwezi Aprili, na lingine ni lile lilitokea nchini Chad mwezi Mei, na lingine hili lililotokea mwezi huu wa Septemba nchini Guinea. Tofauti na miongo miwili iliyopita, matukio haya matatu ni kama hayajakosolewa vikali, na wala hakuna hatua kali zilizochukuliwa ili kuepusha matukio kama hayo kutokea tena, katika nchi hizo au katika nchi nyingine.

Pamoja na ukweli kwamba matukio kama haya yanakuwa na sababu za ndani, kumekuwa na wasiwasi kuwa kuna mkono kutoka nje unaochochea au kuhusika. Kwanza tukiangalia mwitikio wa jumuiya ya kimataifa kuhusu matukio haya matatu, kauli za ukemeaji zimekuwa nyepesi, na hazijafuatiwa na hatua zozote kama ilivyokuwa miongo kadhaa iliyopita.

Ofisa wa Umoja wa Ulaya anayeshughulikia sera za kidiplomasia Bw. Josep Borrel amelaani tukio hilo kwa njia ya Twitter, na kutaka Rais Alpha Conde aachiwa huru. Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imetoa taarifa ikisema tukio hili linaweza kuathiri jinsi Marekani na wadau wengine wa kimataifa watakavyoisaidia nchi hiyo kuleta mshikamano. Kauli hizi ni nyepesi ikilinganishwa na kauli zilizowahi kutolewa huko nyuma yanapotokea matukio kama haya. Kauli kali iliyosikika kukosoa mapinduzi hayo ni ile ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya nchi za Afrika Magharibi ECOWAS na Rais wa Ghana Bw. Nana Akufo-Addo, aliyesema jumuiya hiyo inaweza kuiwekea vikwazo Guinea.

Kumekuwa na matukio mengine ya kuzusha maswali kuhusu mapinduzi haya. Kwenye mtandao wa twitter kuna picha inayosambaa ikimwonyesha kiongozi wa mapinduzi hayo Bw. Mamady Doumbouya akiwa pamoja na maofisa wa jeshi la Marekani. Na kwa kweli Bw. Doumbouya aliwahi kupata mafunzo kwenye chuo cha kijeshi cha Marekani na pia kulitumikia jeshi la Ufaransa.

Lakini pia mambo yaliyotajwa kuwa sababu kuu ya mapinduzi, kimsingi yanaonekana kuwa ni kisingizio na wala sio sababu ya mapinduzi. Umaskini, ufisadi na ugumu wa maisha uliotajwa na kiongozi wa mapinduzi, ni changamoto zilizopo katika nchi karibu zote za Afrika. Serikali za nchi za Afrika zimekuwa zikichukua hatua mbalimbali kupambana na changamoto hizo na kupata mafanikio kiasi. Kama kweli hizi ndio sababu za tukio lililotokea Guinea, basi ina maana mapinduzi yangetokea katika kila nchi.

Ukweli unaonyesha kuwa katika kipindi cha miaka 10 na zaidi iliyopita, wananchi wa Guinea walichapa kazi na kumekuwa na kila dalili ya kuwepo kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Kwa ujumla wananchi wa Guinea waliridhika na serikali yao, na hali hii ilidhihirika kwenye uchaguzi mkuu uliopita, baada ya wananchi wa Guinea kumpa Bw. Conde ridhaa ya kuendelea kuwa rais wao. Kwa hiyo ni vigumu kujua kama kilichotokea ni uamuzi wa waguinea au ni mkono wa nje.
Huwezi kusikia kauli kali iwapo anaetakiwa kushutumu ndie mhusika mkuu katika kupanga mapinduzi. Huwezi kusurvive katika mapinduzi iwapo hakuna mkono wa wenye dunia period.
 
Kupitia hii thread.
mtoa mada tayar umeshajitambulisha wee Ni kada wa chama gani hapa nchini.
 
Kama Zanzibar tu hayo yanaitwa Mapinduzi matukufu
 
Huyu alikuwa munufaika na utawala wa alpha ndo maana kaaandi haya, konde aliyejiongezea muda na kuwafunga wapinzani ni sahihi kwake kupinduliwa nadhani ndo njia sahihi ya kuwaondoa wakoloni weusi waonagangania madaraka
 
Back
Top Bottom