Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Kwani uliona wapi mpinga dini X akiuwawa kisha uongozi wake ulitoa tamko la kulaani hayo mauaji popote duniani?Mpaka sasa hakuna chombo cha habari kilichoandika au kutanga za maandamano ya wapemba kupinga ujenzi wa kanisa. Hakuna kiongozi yeyote wa kiserikali au wa kisiasa anayeliongelea. Inaweza kuwa ni kwa vile rais ni Mzanzibari?