Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Kweli?Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu,je,umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa?
Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasal kimya kimya?
🤣🤣🤣Jamani ccm sasa inaonewaLaana inawatafutana maccm
Acha udini hautakusaidia.Kwa sababu laisi ni muisilamuuuuu
Hata Xmas ni ya CCM?Laana inawatafutana maccm