Acheni makasiliko jamani Daah akisafiri shida asiposafiri shida kila kitu kipo under control kwaiyo kama ni muhimu kwenda ataenda tuTangia Rais Samia aanze Uraisi ni zaidi ya mwaka sasa, lkn mpaka leo hii hajawahi kufanya ziara maalumu ya kiserikali nchini Uingereza, najua mtakuja na majibu ya sijui Ukoloni, lkn msisahahu mlisema mnafungua nchi na ninyi siyo Kisiwa na kwamba ni sehemu ya English empire au Commonwealth wakati mmechukuwa power
Sasa kwa nini mpaka leo hii hakuna official ziara nchini Uingereza, hii siyo kawaida,je labda hatuna Uhusiano mzuri na nchi ya Uingereza au ni nini?
Watanzania now days wanakua na makasiliko sana kana ulivyosema ni kweli anaenda sehemu kwenye maslahi ya haraka na uhakikawhy uingereza, ataenda tu!?! anaenda kwa wale wanaoweza kutupiga jeki kwa haraka, achana na walaghai waingereza, halafu tuko nao comonwealth tunawasiliana nao kila siku.
Acheni makasiliko jamani Daah akisafiri shida asiposafiri shida kila kitu kipo under control kwaiyo kama ni muhimu kwenda ataenda tu
Ziara nyingi hasa kwenye mataifa makubwa huwa zinakua official huku Lakini kule nao huwa wanastukizwa tu yaani huwa tunajialika. Ukiona rais anapokelewa na waziri basi huko ulikotaja atapokelewa na dereva wa mbunge au balozi wake.
Tunajipendekeza Sana mpaka tumechokwa na viongozi hawaoni umuhimu wetu kwao. Sisi tunakoonekana wamaana kidogo ni Uarabuni