Habari wakuu,
Kila mara nikikaa sehemu ya kuuza vinywaji na kuona jinsi vifuniko vya chupa za soda au bia vinavyozagaa na baadae kutupwa jalalani huwa najiuliza hakuna namna ya kufanya recycling na baadae kutengeneza metal products zingine? Hakuna kiwanda hapa Tanzania chenye teknolojia hii?