technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kwani hawajipendi?Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?
Tumenyimwa fweza kutokana na udikteta wa John Pombe Magufuli. Wahisani wamekula konaHakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?
Vyama kama Chadema nilitegemea wapitishe kura ya maoni kwa nchi nzima na kupata sample pure ya mgombea anayekubalika kwa wanachama, jamii za kidini, vyombo vya dora, na watanzania kwa ujumla.
Kwanini Chadema na ACT hawataki kujitofautisha na vyama vingine kama CCM ambao tulishawazoea wanakujaga na majina mfukoni? tatizo nini kwa upinzani?
Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?

Tumetengeneza Taifa la hovyo sanaUnasemaje?huu wakt hatuna utaratbu huo n kusifu na kuabudu only nw
Kwani kunauchaguzi mwaka huu au ni kumpitisha jpm akamilishe muhula wake,uchaguzi ni 2025 ,jpm hana mpinzani
Sent using Jamii Forums mobile app