Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,551
- 2,153
Habari Wana JF,nipo kanda ya nyanda za juu kusini yaani Iringa,Mbeya,Ruvuma na Rukwa. Nimeskitishwa na kutokuwepo kwa bia laini na tamu TUSKER LAGER,na nimejaribu kuuliza kwa wamiliki wa baa na Pub mbalimbali wakiwemo watu wa mauzo wa TBL kwanini Precious water hamna na kupata majibu yasiyoridhisha.