Kwanini hali ya jua kupatwa huwa haijitokezi Kila mwaka?

Kwanini hali ya jua kupatwa huwa haijitokezi Kila mwaka?

The Transporter

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
3,580
Reaction score
7,203
Habari zenu wapendwa,
Niende moja kwa moja kweli mada,
Leo tumeshuhudia kupatwa kwa jua ambalo ni tukio lakuvutui na kustaajabisha zaidi,
Bahati mbaya sina ufahama na haya mambo ningeomba nijulishwe,
Ikiwa dunia inalizunguka jua kwa siku 365 ili kumaliza mwaka, na yenyewe inajizungusha ili kupata usiku na mchana na mwezi kuzunguka dunia,
Naamini huu mzunguko wa dunia ni wa kujirudia Kila mwaka haubadiriki, je iweje kupatwa kwa jua au kupatwa kwa mwezi kuwe kunatokea Kila baada ya miaka kadha?
Kwanini isiwe Kila mwaka hali hiyo inatokea maana mzunguko ni ule ile?
Kwa wenyewe uelewa zaidi naombeni kufahamu
 
Mimi naona kungetokea kupatwa kwa jua kila mwezi maana mwezi humaliza mzunguko wake kila baada ya siku 29 na point
 
Ungeuliza kwa nini haitokei kila mwezi ningekujibu. Kwa taarifa ni kuwa jua hupatwa zaidi ya mara moja kwa mwaka sehemu tofauti tofauti za dunia
 
Back
Top Bottom