MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ukipita Tanzania unakutana na barabara na mitaa zikiwa na majina ya magwiji kibao wa Afrika. Si nadra kukuta majina kama Kenyatta rd, Rwagasore, Mandela, Azikiwe, Nyerere, Nkurumah nk .
Kitu cha ajabu ni kwanini ndugu yetu Milton Obote,mtoto wa mlango wa pili hapo nyuma tu, rafiki wa Mwalimu, mwanamajumuni wa kiafrika hajapewa jina la mtaa wala barabara kama wadau wengine kutoka mbali kama India kupewa mitaa .