MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Matendo yake hayafurauishi na siyo ya kuigwa anzia na mapinduzi ya Stormed Mengo 1966,utawala wa kiimla ,rushwa na ukabila vilichafua jina lake,hata mwalimu akawa tofauti naye.Pia kama ipo nitajieni
Obote alipopinduliwa tulimuhifadhi,na tukapambana mpaka akarudi tena madarakaniUkipita Tanzania unakutana na barabara na mitaa zikiwa na majina ya magwiji kibao wa Afrika. Si nadra kukuta majina kama Kenyatta rd, Rwagasore, Mandela, Azikiwe, Nyerere, Nkurumah nk .
Kitu cha ajabu ni kwanini ndugu yetu Milton Obote,mtoto wa mlango wa pili hapo nyuma tu, rafiki wa Mwalimu, mwanamajumuni wa kiafrika hajapewa jina la mtaa wala barabara kama wadau wengine kutoka mbali kama India kupewa mitaa .
Ni kweli,jamaa alikuwa wa hovyo Sana,tofauti yake na na Idd Amin ni kwamba hakushambulia nchi yetu.Obote alipopinduliwa tulimuhifadhi,na tukapambana mpaka akarudi tena madarakani
Cha kusikitisha ni kwamba kwa muda mfupi aliya watu wengi sana kuli hata nduli,kiasi cha kuipakaza damu nchi yetu
Huwezi kuupa mtaa jina la muuaji kama Obote
Pia itakuwa ni upumbavu zaidi kuupa mtaa jina la Obote kwa kuwa itatukumbusha matrilioni tuliyochoma kumrudisha rafiki wa mtu mmoja madarakani, ni kati ya maamuzi ya kijinga yaliyoitia nchi umasikini mpaka leo,na bado huyo rafiki waganda wakamkataaObote alipopinduliwa tulimuhifadhi,na tukapambana mpaka akarudi tena madarakani
Cha kusikitisha ni kwamba kwa muda mfupi aliya watu wengi sana kuli hata nduli,kiasi cha kuipakaza damu nchi yetu
Huwezi kuupa mtaa jina la muuaji kama Obote
Na pia ndie aliesadia kumuweka Trump madarakani, lakini nashangaa serikali ya Usa [emoji631] imeshindwa kumuenzi huyu mpambanaji wa vita vya yom kapur.Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] huyu jamaa si nasikia ndio aliongoza mapinduzi ya Zanzibar, kwanini hatajwi kwenye vitabu vyetu vya historian?
Umechanganya Kuna Obote na Okello .Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] huyu jamaa si nasikia ndio aliongoza mapinduzi ya Zanzibar, kwanini hatajwi kwenye vitabu vyetu vya historian?
Et nini??Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91] huyu jamaa si nasikia ndio aliongoza mapinduzi ya Zanzibar, kwanini hatajwi kwenye vitabu vyetu vya historian?
Haha haha nomaNa pia ndie aliesadia kumuweka Trump madarakani, lakini nashangaa serikali ya Usa [emoji631] imeshindwa kumuenzi huyu mpambanaji wa vita vya yom kapur.