Kwanini Harmonize anatumia neno "Sisi ni watoto wa maskini"?

Mbona hata Mond uwa analitumia au naye uwa anataka aonewe huruma?
Ogopa sana watu wanaopenda kutumia neno jumuishi maana uwa mara nyingi wanapenda kutumia watu. Mfano ukiwa fundi tajiri anakwambia sikia we fanya kazi kwa bidii ujenge nyumba yetu (wakati yake na familia yake) halafu kuna rafiki zangu wanajenga nitakufanyia mpango ukawajengee, jua unaliwa.
 
Ni ukweli katokea familia ya ki maskini, sasa cha ajabu kipi hapo? Aaaaaaaaah
 
Umeongea mashudu ya kiwango Cha SGR
 
Nadhani comments za wadau zimekupa reflections watanzania kujibrand kuwa wametokea familiar za kimasikini ni bonge la ufahari, wengine sisi kujieleza tu tumeuishi umasikini tunaona ni aibu make umasikini ni fedheha, umasikini ni laana yaani harufu ya umasikini inakera nitavumilia harufu ya mizoga lkn si harufu ya umasikini kamwe!
 
Sasa wew una huruma ?? Ukute hujawahi kwenda ata kwa show moja ..upo apa tu una spread chuki zako
 
Mbona keshagasema siku nyingi kuwa mademu walikiwa wanamtosa sana kipindi anavaa kanda2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…