Kwanini Harmonize hapewi airtime kubwa Baada ya kushinda tuzo 3 USA

Kwanini Harmonize hapewi airtime kubwa Baada ya kushinda tuzo 3 USA

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia juzi. Msanii huyo ameshinda tuzo hizo tatu za (AEUSA) katika vipengele vifuatavyo:

  • Artist of the Year 2023
  • Best Music Video (Single Again)
  • King of the East and Bongo, Afro Bongo Flavour

#monmedia
#MonEnews

NB Kwanini jamaa kapiga hat trick ya tuzo za kimataifa pale mjini USA...lkni media .... social network haziongelei hili
1700118139799.jpg
 
Maoni ya baba levo

#babalevo aongelea tuzo ya #harmonize ni kama za makanisani. [emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo tuzo ni kama za kakobe aamue kugawa Kwa waumini wake .....harmo atuambie alishindana na Nan???"
 
Media zote zimekuwa zikipamba wasaf tu. Harmonize ni msanii pekee aliyebaki tanzania anayeimba mashahiri mazur na yanayokonga nyoyo.°
So unadhani Nini kifanyike mkuu...Ili balance iwepo
 
Mpk pale atakapo staafu na kunufaika vya kutosha!!
Yule mzee alisema "ukitaka kula lazima na wewe uliwe" [emoji2][emoji2]
Tatizo ni uwezo wa kipato

Huoni Kuna muda mwijaku anamkimbia harmonize [emoji23][emoji23]
 
Nafikiri izo TUZO SIO MAARUFU SANA ILA KAMA ANGESHINDA ZA MTV EMA AU TRACE AU BET LAZIMA WANGEMPA AIRTIME
Wanasema tu kashinda tuzo marekani ila hawasemi tuzo zipi ina maana na wenyewe wanaona aibu kutaja hizo tuzo.

Tuzo ambazo yy ndio msanii pekee aliyepost, tuzo ambazo akatengenezewa na category hili ashinde, tuzo ya King of the East alikuwa akishandana na wasanii gani
 
Back
Top Bottom