Avae nyeusi kwani anaomboleza nini? Na akivaa nyeusi sio full mybe trauza na shati nyeusi (nyeusi nzr sio dzain ya kisarakasi) koti jeupee kimodooo singoo batan taii ni hizi za kipepeo mi ndio najua hivyoo wenyewe mnjini mna jina lenu sijui bonii niniii ngoja niache nisijetukana buree...
Kama mnenee bonge anapga kitu ya bazee nyeupee kadarizi na gold kitu ya kiNaigeria full bwana harusi na patron lkn patron na mtoto wa kiume anashona simple aweki hili koti kubwaa na kofia unatokelezea balaaa kama hii niliifuma pahali.