Kwanini Hashim Lundenga kapoteza maboya?

Kwanini Hashim Lundenga kapoteza maboya?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184
Hashim Lundenga kapoteza mwelekeo pale aliposema taarifa za Cheti cha kuzaliwa ndizo wao huzifanyia Kazi na wala siyo Hati ya kusafiria.

Asichojua kibosile wa Miss. Tanzania ni kuwa Hati ya kusafiria hupatikana kwa kiapo wakati cheti cha kuzaliwa huhitaji Kuala.

Kiapo cha uongo ni makosa ya jinai sijui polisi wetu wako wapi kumtia ndani Miss. Tanzania kwa kudanganya kwenye kiapo chake na ushahidi ni tarehe ya cheti cha kuzaliwa kuwa na tarehe tofauti.

Tarehe ya kuzaliwa kwenye pasipoti inadai Sitti Abbas Mtemvu ni 31st May 1989 pasi hiyo ilitolewa tatehe ya 15th February 2007.

Cheti kilichotolewa mwaka huu yaani tarehe 09th September 2014 kinadai Sitti Abbas Mtemvu ilikuwa tarehe 31st May 1991.

Ni dhahiri Cheti cha kuzaliwa kilichotolewa mwaka huu kimechakachuliwa na kilitafutwa kwa minajili ya kumdhulumu yule aliyeshinda nafasi ya pili.

Lundenga ajipime na wakati umefika wa kufanya maamuzi magumu ya kubwaga manyanga.

Basata nao wanapaswa kufanya uchunguzi wao ili walinde heshima ya Hati ya kusafiria isichezewechezewe kama tulivyoona hapa. Pia umri ukizidi miaka 25 Miss TZ huyu Sitti kakosa sifa. Tusilazimishie kuvunja kanuni za Miss. World ili kumfurahisha Mheshimiwa baba Mtemvu.

Ninawakilisha
 
Hashim Lundenga kapoteza mwelekeo pale aliposema taarifa za Cheti cha kuzaliwa ndizo wao huzifanyia Kazi na wala siyo Hati ya kusafiria.

Asichojua kibosile wa Miss. Tanzania ni kuwa Hati ya kusafiria hupatikana kwa kiapo wakati cheti cha kuzaliwa huhitaji kuapa.

Kiapo cha uongo ni makosa ya jinai sijui polisi wetu wako wapi kumtia ndani Miss. Tanzania kwa kudanganya kwenye kiapo chake na ushahidi ni tarehe ya cheti cha kuzaliwa kuwa na tarehe tofauti.

Tarehe ya kuzaliwa kwenye pasipoti inadai Sitti Abbas Mtemvu ni 31st May 1989 pasi hiyo ilitolewa tarehe ya 15th February 2007.

Cheti kilichotolewa mwaka huu yaani tarehe 09th September 2014 kinadai Sitti Abbas Mtemvu alizaliwa tarehe 31st May 1991!

Ni dhahiri Cheti cha kuzaliwa kilichotolewa mwaka huu kimechakachuliwa na kilitafutwa kwa minajili ya kumdhulumu yule aliyeshinda nafasi ya pili.

Lundenga ajipime na wakati umefika wa kufanya maamuzi magumu ya kubwaga manyanga.

Basata nao wanapaswa kufanya uchunguzi wao ili walinde heshima ya Hati ya kusafiria isichezewechezewe kama tulivyoona hapa. Pia umri ukizidi miaka 25 Miss TZ huyu Sitti kakosa sifa. Tusilazimishie kuvunja kanuni za Miss. World ili kumfurahisha Mheshimiwa baba Mtemvu.

Ninawakilisha
 
Bila kutafuna maneno,Lundenga na miss TZ wamefanya jinai,na wanastahili kufikishwa mbele ya sheria
 
No question. Mr Lundenga anawatumia watoto wa kike kwa manufaa yake binafsi ($$$), na anafanya hivyo hata kwa kuvunja sheria na kukiuka maadili ya jadi ya mtanzania. Kuchukuliwa hatua, i doubt?
 
Back
Top Bottom