Wengi ukiwauliza katika soka tunafuata falsafa gani, watakujibu 'hatuna'. Lakini kiukwei tunafuata falsafa ya KIPAJI, kwa maana kutegemea mchezaji anafikiria vipi akiwa na mpira. Hapa hatutoki na kwenda kwenye soka la kitabuni au uweledi 'profesional'. Yawezekana wajanja wananufaika na hali hii! Tofauti yetu na wenzetu walioendelea katika vipaumbele ni kama hivi:-Vipaumbele:-Sisi: 1. Kipaji. 2-Kamati ya ufundi na 3-Uweledi, japo hili hatuna.Wenzetu: 1-Uweledi. 2-Kipaji na 3-Kamati ya ufundi.Tunahitaji maamuzi magumu hapa.