lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Kwanini hatutaki kukubali kuwa mzunguko wa pesa mdogo?
Je,kwa dini zetu zote 2 kukubali kuwa mzunguko wa pesa ni mdogo ni dhambi?
Je,ni kweli pesa zimepungua Kwa wapiga dili?ama pesa zimepungua Kwa wananchi?
Je,wachumi wetu hawana njia kuchochea uchumi wetu ili wananchi watumie pesa kuwepo na mzunguko wa pesa bila kuwepo dili?
Naombeni majibu ndugu zangu kifanyike kitu gani kuokoa biashara zinazama Kwa hali ngumu ya kiuchumi?