Kwanini hatutaki kukubali mzunguko wa fedha ni mdogo?

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,806
Reaction score
4,370
Kwanini hatutaki kukubali kuwa mzunguko wa pesa mdogo?
Je,kwa dini zetu zote 2 kukubali kuwa mzunguko wa pesa ni mdogo ni dhambi?
Je,ni kweli pesa zimepungua Kwa wapiga dili?ama pesa zimepungua Kwa wananchi?
Je,wachumi wetu hawana njia kuchochea uchumi wetu ili wananchi watumie pesa kuwepo na mzunguko wa pesa bila kuwepo dili?
Naombeni majibu ndugu zangu kifanyike kitu gani kuokoa biashara zinazama Kwa hali ngumu ya kiuchumi?
 
Kama ataongeza mishahara kwa wafanyakazi na kutoa pembejeo bora kwa wakulima kutakuwa na mzunguko mkubwa wa fedha na sio kusema eti tunabana matumizi ili hali tunanunua ndege cash
 
Tatizo nikujua Kemia ya kumeza na kujifanya unajua kila kitu.
 
Hali ni mbaya, hata Mwakyembe amekiri hilo Bungeni japo kwa kigugumizi akihofia mteuaji asije akamsikia.
 
Yaani pesa imekua ngumu kama bikra kwa changudoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…