py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Klabu ya Ndanda imesaini mkataba wa mwaka mmoja wa udhamini na kampuni ya Motisun.
Tangia nifuatilia mpira na ligi ya Vpl naona makampuni ya watu wenye asili ya nje kusaidia vilabu vyetu kwenye udhamini nk ,kuanzia simba ,yanga ,mbeya city ,coastal union ,ndanda nk
Utawakuta akina Bin slum,kassim dewji ,Mo ,quality group ,migodi nk
Kwanini matajiri wenye asili au makampuni ya wenye asili kama IPP ,matajiri wengine hatuwaoni wakisaidia vilabu vyetu
Mfano Arusha kuna matajiri kibao lakini cha kushangaza hakuna timu inayoshiriki ligi kuu kwa muda mrefu ,Moshi pia ,Dodoma nk.
Tatizo nini wabahili sana au hatuna moyo mweupe