Kwanini haujalala muda huu ikiwa ni 03:58 am

mmbangaya

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
997
Reaction score
1,765
Wana jukwaa salama!
Naomba tushare experience kidogo kwanini baadhi yetu hatujalala usingizi muda huu instead tupo humu Jf.
Kwa upande wangu ni msongo wa mawazo kwani kuna mambo yananiumiza kichwa. Asubuhi kabla ya saa nne natakiwa niwe na kiasi fulani cha pesa ila mpaka muda huu sijajua pa kuzipata. Na zikikosekana napata hasara kubwa sana
 
Sio wote wanatumia majira ya Tanzania.
Kwako ni USIKU ...kwa wengine waliko ni asubuhi tayar.

BTW. . . ushapata wazo la pakuipata hiyo hella!
 
Watanzania tubadilike. ...Waafrika tubadilike. ....MAULANA atuongoze milele yote
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…