MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Seems ulianza kutumia simu ukubwaniMimi sijawahi kutumia Facebook na sina sababu yoyote ile ni interest tu
Inawezekana labda ukubwani..maana nimeanza kutumia nikiwa form one😌Seems ulianza kutumia simu ukubwani
Tuseme ulifuata mkumbo mkuu.niliacha baada ya kampani karibia yote kuhamia whatsapp na bbm
karibia wote walienda huko, zile groups za FB zikatelekezwa mazimaTuseme ulifuata mkumbo mkuu.
Stumii Facebook, ila nimekupa like kwenye comment yako! Sio ujanja kutumia mtandao flani au kutotumia mtandao flani....hata jf mbona kuna watumiaji wake baadhi ni wajinga kuliko hata wa hiyo mitandao mingine ambayo baadhi wanaona ni ya kijinga!Huo usemi kuwa "Bado unatumia Facebook" unaosema sema hivyo ushamba na ujinga ndio unawasumbua yaani mtu anataka asichopenda nawe usikipende.
Watu hawaelewi, "wanajiona wajanja" kutotumia 😅Hamna mtandao wenye wateja wengi kibiashara kama Facebook