Kwanini hautumii mtandao wa Facebook?

Jf ni pendwa kwang coz kuan majukwaa yana vichaa na ukitaka kucheka utacheka mpka basi lakini kuna mengine watu wako serious vibaya mno.. ukitaka kutupia jambo jipange haswa la sivyo utaishia kutukana watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…