Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Akipandacho mtu, ndicho avunacho. Mnayoyapanda sasa hivi ndani ya Chama chenu, msije mkayakimbia mavuno. CCM waeamua kujimilikisha kwa TISS. Kuna Wagombea wa CCM wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na ushawishi kwa Wanaccm lkn hawapenyi kwenye kinyang'anyiro kwasababu siyo chaguo la TISS wenye kumiliki Chama.Usianze kubuni buni mambo 🐼
Polisi wakianza upelelezi wanakwaa kisiki kwa kikosi kazi!Swali hilo linanifanya nianze kufikiri na kuamini kwa uhakika kuwa hawa sio Polisi wa kawaida bali hiki kinachoendelea ni matumizi mabaya ya ile sheria inayowapa watu wa usalama wa Taifa (TISS) haki ya kukamata watu huku wakiwa na kinga maalumu.
Kama Polisi wapo, basi watakuwa wameshirikishwa tu ila wenye hiyo shughuli watskuwa ni watu wa TISS.
Hii sheria kuna siku itakuja kuwagharimu wahusika kwani ukamataji huu una sura ya ujambazi, hivyo wako hatarini kuja kushambuliwa na raia siku moja.
- Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Akipandacho mtu, ndicho avunacho. Mnayoyapanda sasa hivi ndani ya Chama chenu, msije mkayakimbia mavuno. CCM waeamua kujimilikisha kwa TISS. Kuna Wagombea wa CCM wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na ushawishi kwa Wanaccm lkn hawapenyi kwenye kinyang'anyiro kwasababu siyo chaguo la TISS wenye kumiliki Chama.
Mkuu hata hao wote uliowataja wapo pia. Hao Jamaa wasiojulikana (TISS) wapo kote huko.Sio TISS tu, polisi, magereza, FFU na wengine wote, nadhani ni kasoro JWTZ tu, nako nina mashaka napo, maana sio kwamba hawaoni yanayoendelea nchini, ila wameamua tu kukaa kimya.