Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

mh!mpendwa hapa naona GENDER HAIJAZINGATIWA

Sorry Binamu mie naongelea upande wa mwenza wangu kama nikimkuta hivyo...
Na wewe unaweza kuongelea upande uli mwingine ..

Binamu samahani nisije nikaharibu hii sredi
 
TBS ingekuwepo we could rely on them interms of Quality & Standard, sasa how can I prove quality,kina cha maji hakipimwi kwa macho, lazima utose GUU ndo uamue kuogelea otherwise uta..............................!
 
Thanx TZPride umenena vema sana
 
Sorry Binamu mie naongelea upande wa mwenza wangu kama nikimkuta hivyo...
Na wewe unaweza kuongelea upande uli mwingine ..

Binamu samahani nisije nikaharibu hii sredi
SAMAHANI kama nimekukwaza binamu😀
 
Vipimo vyote vinapimwa sijui urefu,upana,unene nk nk
Lakni mbona bado ndoa za vijana wengi siku hizi ni balaaa na matalaka juu?.Na hao wazee wetu zamani walikuwa hawapimi kwanza na mbona walikuwa wanadumu?
Mie najiuliza sana kuna faida gani ya kupima na kutestiana kama mambo yenyewe ndo haya!
 
Kuonja sio issue,
when it come to ndoa, nina amini, na wengine mtakuwa mashahidi, utamu au ukawaida au u-tight au u-loose, au unene, urefu, udogo haviwi vigezo.

Nani alishaoa au kuolewa kwa sababu ameonja akakuta ni tamu sana?
 
Life changes...maisha ya zamani na ya sasa ni tofauti sana...wazee wetu walikua wamejikita kwenye mila na tamaduni...so there was no urgements or what..mzee akisema hupingi..sometime ilisaidia sana..tatizo wakati wa utandawazi unaingia wazee walishindwa ku cop na situation kutransfer knowledge ya kipi kiigwe kipi kiachwe...so kizazi cha dot.com kimeingia kichwa kichwa......yaani watu wanawaza negatives than positive issues..mara nipofanya ivi..ikitokea ivi...blaa blaa kibao!! thus why nowadays ndoa zimekua ndoano!!
 
Kuonja sio issue,
when it come to ndoa, nina amini, na wengine mtakuwa mashahidi, utamu au ukawaida au u-tight au u-loose, au unene, urefu, udogo haviwi vigezo.

Nani alishaoa au kuolewa kwa sababu ameonja akakuta ni tamu sana?

Birigita, kwani zinatofautiana ladha?
 
Ok.Sasa huko kuonjana kunasaidia nini? si ni kuchoshana kabla ya wakati muafaka haujafika?

Kuonja sio issue,
when it come to ndoa, nina amini, na wengine mtakuwa mashahidi, utamu au ukawaida au u-tight au u-loose, au unene, urefu, udogo haviwi vigezo.

Nani alishaoa au kuolewa kwa sababu ameonja akakuta ni tamu sana?

Wewe nakuelewa.Kuonjana sio kigezo cha kuwahakikishia ndoa tamu.
 
bestman alikuwa mbali?
 
vijana wa kileo, wa siku hizi,
wake kwa waume, kwanini hawaoani hadi wameonjana?
Wengine ndio wananogewa hadi wanabeba mimba kabisa?
wabongo ndio wangekuwa kule mbabane/swaziland,sijui kama wangeoana.
 
mbona watu wanaonjana tu hata kama hawana mpango wa kuoana!!!
mi naona kung'atana ni swala la kawaida tu, kwa wanaotaka kuoana au ambao hawana mpango wa kuoana.
 
Good morning my people. Hapa leo mnadiskasi nini vile?
 
Kwa "zamani" ilikuwaje? Na je tunaongelea mwongo upi au miaka ipi? ambayo vijana wanaonja kabla ya kuoa?

Mimi nimeoa 70s lakini "sikununua mbuzi kwenye gunia"! Na naamini hta walioa 60s walitenda kabla ya kuhalalisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…