Habali zenu wote muliofanikiwa kuumaliza mwaka ulioisha salama sasa tunakutana tena upya ktk mwaka huu mpya wandau kiukweli nimevutiwa sana Nagar hii nataman kulinunua kutokana na nuonekano wake pia nabei yake sasa najiuliza swali pia swali langu nimeona niliwasilishe ili mnipatie majibu swali langu ni kwanini haya magari ya model hizi yanauzwa bei ndogo ukilinganisha na magari mengine hasaa ya Toyota na yamakampun mengine kama vanguard,harrier, rava 4 na escudo new model kabla sjanunua naomba ushauri wenu