msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
1. Space exploration
2. Atomic energy
Ni dhahiri kuwa waandishi wa katiba mpya hawakutazama mbele Tanzania itakapokuwa nchi iliyoendelea kisayansi na kiteknolojia. Wao walidhani tutanaki kuwa nchi inayotegemea kilimo sijui na uvuvi daima milele!
At least nimelitoa wazo na limesomwa na watu, wengine humu JF ni viongozi. You never know serikali ijayo itakuwa na maamuzi yepi kuhusu suala zima la katiba mpya!Haya ndiyo matatizo ya usingizi wa fo fo fo ambapo wewe umeshtukia shuka wakati ni asubuhi. Umevaa kofia ya heshima unatoa mawazo ya uzuzu. Any way pole mdomo, kichwa na vidole vya kubofya ni vyako hujapoteza chochote
Sasa wewe ukitaka kila mawazo ya kila mtanzania yawekwe kwenye hiyo katiba tutakuwa na katiba kubwa kiasi gani ebu jiulize hapo, tumikia akili usikurupuke ovyo, hawagawi chakula cha msaada wa njaa humu ndani, fikiri kabla ya kupost hiozo hoja zako zisizo na akili.1. Space exploration
2. Atomic energy
Ni dhahiri kuwa waandishi wa katiba mpya hawakutazama mbele Tanzania itakapokuwa nchi iliyoendelea kisayansi na kiteknolojia. Wao walidhani tutanaki kuwa nchi inayotegemea kilimo sijui na uvuvi daima milele!
Sasa wewe ukitaka kila mawazo ya kila mtanzania yawekwe kwenye hiyo katiba tutakuwa na katiba kubwa kiasi gani ebu jiulize hapo, tumikia akili usikurupuke ovyo, hawagawi chakula cha msaada wa njaa humu ndani, fikiri kabla ya kupost hiozo hoja zako zisizo na akili.
At least nimelitoa wazo na limesomwa na watu, wengine humu JF ni viongozi. You never know serikali ijayo itakuwa na maamuzi yepi kuhusu suala zima la katiba mpya!
Katiba ya nchi lazima iwe 'progressive'! Mbona nchi nyingine za Afrika zimeweza kuandika katiba progressvie? Kenya, A.Kusini, Zimbabwe etc. Kwa nini sisi tumeandika katiba ya ovyo hivi mpaka inatia aibu? Muundo wa muungano haueleweki, haijulikani kati ya rais na waziri mkuu nani atakuwa kiongozi wa serikali endapo rais mteule atatoka chama tofauti na chama chenye wabunge wengi bungeni, mapungufu ni lukuki. Waandaaji wa katiba mpya walipaswa kutoa document ambayo itaifaa nchii hii whatever the situation, hata miaka hamsini ijayo. Wamefocus sana kwenye kilimo as if nchi hii itabaki kutegemea kilimo miaka kadhaa ijayo! Ni kosa kubwa sana!
sura ya nane sehemu ya kwanza inasema Rais atakuwa mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu. Hii kwa kawaida ni feature ya presidential system of government, kama huko Kenya na Marekani. Sehemu ya pili inasema kutakuwa na waziri mkuu na baraza la mawaziri watakaochaguliwa kutoka bungeni. Hii ni feature ya parliamentary systems, kama ya uingereza na canada. Waziri mkuu atatoka chama chenye wabunge wengi au ushawishi mkubwa bungeni. Je, rais akitoka chama A na chama chenye wabunge wengi ni chama B, huoni kama kutakuwa na matatizo? Waulize Wafaransa mpaka ikabidi wabadili katiba yao kuepusha hichi kitu walichokiita 'cohabitation' kwa sababu misuguano serikalini ilikuwa mikubwa mno! Mara wabunge wagome kupitisha list ya mawaziri, mara wagome kupitisha budgets za mawizara.....vurugu tupu!Unapoteza muda mwingi sana kupiga porojo na hapa inaonyesha hujaisoma na wala huielewi, daaa yaani umeshinda kusoma na kuelewa issue ya madaraka kwenye katiba, Rais, Waziri mkuu,Wabunge n.k liko wazi kabisa hilo!
sura ya nane sehemu ya kwanza inasema Rais atakuwa mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali na amiri jeshi mkuu. Hii kwa kawaida ni feature ya presidential system of government, kama huko Kenya na Marekani. Sehemu ya pili inasema kutakuwa na waziri mkuu na baraza la mawaziri watakaochaguliwa kutoka bungeni. Hii ni feature ya parliamentary systems, kama ya uingereza na canada. Waziri mkuu atatoka chama chenye wabunge wengi au ushawishi mkubwa bungeni. Je, rais akitoka chama A na chama chenye wabunge wengi ni chama B, huoni kama kutakuwa na matatizo? Waulize Wafaransa mpaka ikabidi wabadili katiba yao kuepusha hichi kitu walichokiita 'cohabitation' kwa sababu misuguano serikalini ilikuwa mikubwa mno! Mara wabunge wagome kupitisha list ya mawaziri, mara wagome kupitisha budgets za mawizara.....vurugu tupu!
Tuamue ama presidential au parliamentary. Sio huku na huko. Mshika mawili.....
Hilo tu linaonyesha
wewe ni mgumu
kuelewa!!kwi kwi pole

Jamaa kakimbia. CCM ndio zao. Kupresent kwa hisia na sio hoja! Watakoma mwaka huu...heheheeSasa siumueleweshe.
nieleweshe wewe basi uliyeelewa!
Sasa siumueleweshe.
Hoja zako nzuri lakini umezileta wakati usio muafaka. Watu akili zao zimehamia kwa Lowassa kwenda CDM.
Katiba mpya haiwezi kuchanganywa na matukio mengine kama uchaguzi, BVR nk. Inabidi mchakato uwe wa kwake pekee ili akili za watanzania ziwe huko.
Jibu la kiCCM ndio zenu hata sikutarajia zaidiMkuu Rais sio babu yako, ujue ndo kiongozi mkuu wa taifa, alama na utambulisho wa nchi sijui wewe wa Somalia nini?
Jibu la kiCCM ndio zenu hata sikutarajia zaidi
Watanzania ni mashine hakuna mfano wake! tumetoka Bunge la Katiba tukaingia, michakato ya vyama, BVR ,Dodoma Nec, NEC ya mtaa wa Ufipa, Hamahama ya politicians, Kutambulisha wagombea CCM na UKAWA vyote hivi bado tumevibeba na haina shida!