Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Jiwe halina AKILI....Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana...
KinyagoMsukuma alimuita ... naogopa kutaja
Ukitaka kujua kwanini alijiita jiwe, kapasue jiwe, uone kama ndani kuna kitu (ubongo).Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana.
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli alikuwa na majina mengi ya utani, kama vile Tingatinga, Chuma, Mwamba, nk hayo yote alipewa na wananchi katika kutambua uchapaji kazi wake.
Siku moja akiwa Singida (akiwa Rais tayari) akajipa jina la utani yeye mwenyewe kwa kujiita JIWE. Ni kama aliongea kwa utani lakini jina la Jiwe linaishi mpaka leo.
Kwanini alijiita jiwe? Na aliposema " sitishwi wala sitishiki" aliwalenga akina nani waliokuwa wanamtishia?
Hina na kudemka na urojo ni hatari kwa msitakabari wa TaifaHii nchi ukiiendesha kwa kupaka hina utaishia kuita mafisadi Stupid bila kuyachukulia hatua zozote, inapaswa uwe ngangari kwenye maamuzi ili mambo yanyooke, huwezi kuyafikia hayo bila ya kuwa Jiwe, chuma, mwamba au mtata.
Sifa za dikteta uchwara hizo.Bado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana.
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli alikuwa na majina mengi ya utani, kama vile Tingatinga, Chuma, Mwamba, nk hayo yote alipewa na wananchi katika kutambua uchapaji kazi wake.
Siku moja akiwa Singida (akiwa Rais tayari) akajipa jina la utani yeye mwenyewe kwa kujiita JIWE. Ni kama aliongea kwa utani lakini jina la Jiwe linaishi mpaka leo.
Kwanini alijiita jiwe? Na aliposema " sitishwi wala sitishiki" aliwalenga akina nani waliokuwa wanamtishia?
Tofauti na mawe mengine, yeye alikufaBado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana.
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli alikuwa na majina mengi ya utani, kama vile Tingatinga, Chuma, Mwamba, nk hayo yote alipewa na wananchi katika kutambua uchapaji kazi wake.
Siku moja akiwa Singida (akiwa Rais tayari) akajipa jina la utani yeye mwenyewe kwa kujiita JIWE. Ni kama aliongea kwa utani lakini jina la Jiwe linaishi mpaka leo.
Kwanini alijiita jiwe? Na aliposema " sitishwi wala sitishiki" aliwalenga akina nani waliokuwa wanamtishia?
Sema...Msukuma alimuita ... naogopa kutaja
Jiwe huwa halina akili ndiyo maana alijiita JIWE kwa kuwa hakuwa na akili. Very simpleBado naendelea kumkumbuka Rais wetu wa awamu ya tano, Field Marshall John Pombe Magufuli. Hakika maisha yake yaliwagusa watanzania wengi sana na hata kuondoka kwake kumeacha simanzi kubwa sana.