Mambo baadhi alikuwa anakatisha njia ya mkato bila ya kupitia Bungeni, hivi mnajiuliza kwa nini ?
Bunge hili Msilitegemee kuwaletea maendeleo ndio maana Mheshimiwa Magufuli hakulipa umuhimu kivile lilikuwepo kikatiba na si kiutekelezaji au kuwa na nguvu ya maamuzi maana Mheshimiwa Magufuli (al marhoum) alilifahamu kuwa sio bunge lililotokana na wananchi,wote walipita kwa kutumia nguvu zake yaani yeye ndio aliwapitisha kwa kila kitu.
Kwa hiyo alikuwa hawahitajii kwa lolote lile na wabunge naamini wakilijua hivyo, Anaekusaidia ndie bwana wako ,magu alikuwa Bwana wao wasingeweza kuropoka,kupinga lolote lile,na ndivyo ilivyokuwa.
Tunahitaji katiba Mpya ili utumbo uliotokeza usitokee tena,tume mbovu ya uchaguzi haina nguvu yeyote ipo ipo ,na sio mbovu bali ilisaidiwa kuwekwa pale kwa hivyo aliowasaidia ndio Bwana wao ilibidi wamtii.
Basi imetosha sasa tunahitaji tume itakayowajibika na kupatikana wabunge wanaoweza kuzungumza waliopigiwa kura na kushinda kihalali kabisa ,jamani tabu na shida ipo wapi ? Mambo mengine tunajitafutia wenyewe.
Weka tume huru anaeshinda kashinda kihalali na anaeshindwa kashindwa kihalali ,gurudumu la maendeleo lipandishwe na likitushinda tutaliekea mawe na magogo tuvute pumzi kisha kazi iendee.