Kwanini hii ilikuwa inasemwa kuwa ni matusi?

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571


Enzi nasoma shule ya msingi ukichonga tu penseli pande zote mbili utasikia "aahhhh...hayo matusi"...au wengine wanasema "wewe hiyo tabia mbaya"....Na wengine walienda mbali zaidi na kusema "Unawatukana baba na mama yako".
Sasa matusi hayo veepeee....Mimi hadi leo sielewi hata kidogo.

 
Ha ha haaa! Aisee umenikumbusha zamani...pia shule niliyokuwa nasoma walikuwa wanasema ni matusi ila sikujua ni tusi gani...subiri Mphamvu figganigga Interest waje watujuze....
 
Daah....Nilikuwa naogopa kuchonga..eti kisa ni matusi....

Wajuvi wa mambo watujuze..
 
[emoji23] [emoji23] mimi pia cjawah kuchonga hivy nilikuwa na rafik yngu mmoja alikuwa na maneno hyo ye ndo aliniambia kuchonga hivy ni matusi ila hakuniambia ni tusi gani..
 
[emoji23] [emoji23] mimi pia cjawah kuchonga hivy nilikuwa na rafik yngu mmoja alikuwa na maneno hyo ye ndo aliniambia kuchonga hivy ni matusi ila hakuniambia ni tusi gani..
Huna mawasiliano yake aje atusaidie mkuu?
 
dah kumbe enzi zile mambo mengi yalikuwa "komoni" maeneo mengi kama sio nchi nzima. mi nilijua kasuala kama haka kalikuwa huku kwetu tu
 
Ndo kwanza napata hii taarifa hapa. Sijawahi ona wala sikia. kuhusiana na hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…