Kwanini hii ilikuwa inasemwa kuwa ni matusi?

Dah enzi zile mambo mengi yalikuwa "komoni" maeneo mengi nchi sijui kwanini, mi nilijua kasuala kama haka kalikuwa huku kwetu tu
 
mpk sasa hatuja pata hilo tusi ni gan
 
Jamani hadi sasa tumeshindwa kusema hili ni tusi gani? Na origin yake ni nini?...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…