Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumu inachambua mlolongo mzima wa kesi, chanzo, hoja, sababu za umamuzi, sheria inavyosema ktk suala husika, utetezi wa pande zote mbili n.k lakini order yaani amri yenyewe imegusia maelezeko mahususi yanayopaswa fuatwa na kuzingatiwa na pande husika ktk kesi...Kuna tofauti gani kati ya Order of the court na Judgment of the court? Angalia attached ORDER OF COURT AND NOT JUDGMENT, WHY?
Ubarikiwe sana.Hukumu inachambua mlolongo mzima wa kesi, chanzo, hoja, sababu za umamuzi, sheria inavyosema ktk suala husika, utetezi wa pande zote mbili n.k lakini order yaani amri yenyewe imegusia maelezeko mahususi yanayopaswa fuatwa na kuzingatiwa na pande husika ktk kesi...
Kwenye judgement yawezekana kuwa na orders mfano amri ya gharama za kesi n.k...