Hukumu inachambua mlolongo mzima wa kesi, chanzo, hoja, sababu za umamuzi, sheria inavyosema ktk suala husika, utetezi wa pande zote mbili n.k lakini order yaani amri yenyewe imegusia maelezeko mahususi yanayopaswa fuatwa na kuzingatiwa na pande husika ktk kesi...
Kwenye judgement yawezekana kuwa na orders mfano amri ya gharama za kesi n.k...