Kwanini hii nayo imechakachuliwa?

MONTESQUIEU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
847
Reaction score
80
Nimeweka thread yangu yenye kichwa "Valentini ya 14/2/2011"

Jamaa yangu karudi 6.30 amelewa hoi, kaniletea ua lililochakachuliwa
hii imekaje jamani?

Hii thread inaubaya gani hadi iondolewe?
 
N a niimechangiwa na watu kibao ambao wamenipa misimamo na ushauri wa maisha ulio bora kabisa
 
doh pole sana
wametoa thred yako mwenyewe wakat wewe una majonz ya kuachwa solemba?
dah pole
uyo pombe tyu zamsumbua lakin apo pa ua lilillochakachuliwa dah ungepokea ua afu ungemchapa nalo uson tu pppaaaahh then uyooo ungeenda kujicheba mahala

uyo labda kajifanya amelewa ili umwone ahh uy pombe tu kumbe yupo mkavuuu katoka kwa monica nyonyo mtaa wa kat...
dah pole mwaya...KWAN ULIJIANDAA SANA SHOST?
 

Nilijiandaa nikavaa nguo za valentine na aliniambia tutatoka , ukizingatia cjatolewa cku nyingi mh nilioga
 
Imeunganishwa na threads nyingine zinazofanana nayo, nenda search utaipata tu au waPM mods!
 
Nilijiandaa nikavaa nguo za valentine na aliniambia tutatoka , ukizingatia cjatolewa cku nyingi mh nilioga

dah pole mwaya
alikununulia ilo gaun au ?
if no mwambie gaun nilikopa kalipe japo ufidie maumivu....MI SPEND KABSA VDAY hhh watu wenyew fek..maua kanunua saba anafanya kwenda sinza kadrop moja ,kaenda mwenge moja,kijitonyama moja ,makumbusho moja,moroco moja ua bayaaaa lililobakia la mwsho ndo litakufikia kndon...DAWA YAKE UYO NXT TYME AKITOKA UTOKE NENDA ATA KWA ANJELA AU LYDIA THEN ATAJUA UMENDA KWA MWANUME AKIANZA KULALAMA NDO APO PA KUMPA SOMO JUU YA KITENDO CHAKE SI UUNGWANA NA ULIUMIA THE SAME.

pole ..mi nilikuwa msimbaz cnter na enjoy na watoto
 
Saa sita za usiku ni siku nyingine kabisa, si valentine, umeibiwaaaa.
 
Monika Nyonyo.... eh...upo weye za hanimuni?:coffee:
 
Mimi nakupenda wewe hasa na hiyo konyeza yako inaniacha hoi naomba unikubalie naahidi kukupenda sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…