Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Na mazao yao yataendelea kukopwa tu .wafanyabiashara wanafanya biashara, nyie wakulima limeni.
Malengo yamekuwa ni kwenye pesa bila kufikiria upatikanaji wake kwa kufanya kitu kinachoonekana kwa njia ya uzalishaji au huduma. Hata hivyo sina tatizo na michezo ya kubahatisha, ni njia ya kuhamisha ukwasi kutoka upande mmoja kwenda mwingine.Mkuu kiaje mkuu
Kimsingi huu ni moja ya utaratibu mkubwa wa kuondoa pesa kwenye mzunguko ama kwa wananchi, ukiona jambo hili linahamasishwa sana, jua viongozi wetu bado wanaamini kuna mzunguko mkubwa wa fedha mtaani unaopelekea inflation....sasa wanajaribu kuziondoa kwenda government coffers...Wakuu uwa najiuliza kwanini hii nguvu ya kutuamasisha tucheze biko tatu mzuka na mechezo mingine mingi ingeamishiwa kwenye mambo ya msingi kama kilimo biashara na mengine mengi na ukakika kwa 100% wananchi tungeamasishwa kilimo kinalipa kama tunavyoamsishwa kwenye hiyo michezo ungekuta kama taifa tumepiga atuwa kubwa sana kimaendeleo katika kilimo ila nashanga nguvu kubwa imeamishiwa kwenye mambo ambayo tuseme kama ni starehe tu za kawaida kwasababu ukifungua redio yeyote ni tatu mzuka biko mara sport pesa kwanzia asubuhi paka jioni.
Hadi najiuliza wamezamini vipindi vyote au kwenye simu kwa siku unapata ata sms 5 kuamasishwa ucheze hiyo michezo mm kama mtanzania napendelea kama huu uhamasishaji ungefanyika na kwenye mambo yenye tija kwa taifa tungekuwa wapi paka sasa hivi.
Kama taifa ombi langu naomba serikali kwenye masuala muhimu ya kitaifa umasishaji uwe juu hiv kama kwenye hii michezo na uhakika tungekuwa mbali sana muwe na siku njema wakuu
Duu mbona ni hatari sasaKimsingi huu ni moja ya utaratibu mkubwa wa kuondoa pesa kwenye mzunguko ama kwa wananchi, ukiona jambo hili linahamasishwa sana, jua viongozi wetu bado wanaamini kuna mzunguko mkubwa wa fedha mtaani unaopelekea inflation....sasa wanajaribu kuziondoa kwenda government coffers...