Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Sasa Domo kambandua UWOYA unategemea nini? Unajua Uwoya alitembea na nani mwenye nyanya ambaye kashafariki? Na ukiangalia jamaa anavyotembeza rungu ni wazi kashajikataa kabisa hajali kabisa afya yake maybe kashajua status ndio maana he doesnt care....Shiongo mambo ya udaku yupo vizuri sidhani kama kamsingizia kashapata info ndio maana kaandika.Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
Tangu niko darasa la kwanza hadi leo namtafuta sana " mwandishi wetu" ila sijawahi kumpata hadi leo😂Ukifuatilia iyo habari kaandika nani utakuta wameandika na "mwandishi wetu"...... Huwa sisomi kamwe habari izi maana nyingi ni uongo..... Huu ujanja alinifundisha mjomba wangu
Muandishi amekuzidi sana akiri, hapo utampelekaje mahakamani wakati ametoa tu mfano wa mtandao ambao unaweza kusababisha Ukimwi au Kuna sehemu amesema Jinsi Diamond anavyoambukiza ukimwi!?Mimi sio shabiki na sitakuwa shabiki wa Diamond hata siku moja. Lakini sijafurahishwa na haya magazeti ya Udaku. Hili gazeti ni lini lilimpima au kuthibitisha kuwa Diamond ana ukimwi na kawaambukiza mastaa wote aliotembea nao?
I wish i was diamond. Ningesukumia ndani wote hadi mashangazi zao.
Hata kma anao huu ni Unyanyapaaji wa waathirika wa Virus vya Ukimwi.View attachment 961219
Eti Mlokole anapata pesa kwa magazeti machafu na tabia mbaya sana! Yeye ana wangapi au kwa kuwa anafanya gizani. Tuanzia kwa yule mzungu wake wa mwanzo aliyempa maisha!Shigongo huyo.Na anavyojifanya ni mtakatifu wakati riziki yake inatokana na kuchafua watu na magazeti yake ya udaku
Unazungumzia umaarufu UPI?? Maana hapa home kuna madogo hawamjui hata rais wa nchi yao ila ukiwatajia tuu diamond na jate Lee kama vile baba zao1.jiwe
2.lowassa
3.lissu
4.mbowe
5.Diamond
hapana si kweli1.jiwe
2.lowassa
3.lissu
4.mbowe
5.Diamond