Wadau kama mjuavyo walimu tumepata ajira tulizozisotea kwa takriban miez 6,
suala la hela ya kujikimu limekua ni siri kubwa, ukienda halmashauri, ukiomba waraka unaonekana "NUKSI", ivi kwanini hili jambo n la siri mno???
Haki yetu kupata taarifa, sio kama waajiriwa lakn pia km waTZ, Inakuaje jaman? Daah!
"walimu tuna hali ngumu"
Kivipi bado? Ina mana mmepanga kutukomesha zaidi ya hapo senetor?
"Ualimu ni wito nenda huko ulikopangiwa"
Yaani mkubwa kama ulikuwepo vile! wanaziiingiza kwenye mabenki na kutengeneza faida.Hata hili la walimu hewa au wafanyakazi hewa wakurugenzi wanahusika maana kuna watu kibao waliacha kazi kwa kufuata utartibu lakini bado salary slip zinatoka lakini wao hawapati mshko,unaashia wwapi si kama kwa mkurugenzi?hapo ndo kuna ulaji kwa wakurugenzi na ma'afsa Elimu,ngoja uone kipindi cha posho za kujikimu,kila mahalh WALIMU MTAANDAMANA,MTAPEWA KIDOGOKIDOGO na nyingne hamtapewa
Yaani mkubwa kama ulikuwepo vile! wanaziiingiza kwenye mabenki na kutengeneza faida.Hata hili la walimu hewa au wafanyakazi hewa wakurugenzi wanahusika maana kuna watu kibao waliacha kazi kwa kufuata utartibu lakini bado salary slip zinatoka lakini wao hawapati mshko,unaashia wwapi si kama kwa mkurugenzi?
hapo ndo kuna ulaji kwa wakurugenzi na ma'afsa Elimu,ngoja uone kipindi cha posho za kujikimu,kila mahalh WALIMU MTAANDAMANA,MTAPEWA KIDOGOKIDOGO na nyingne hamtapewa
Kuhitimu ualimu maana yake ni kuhitimu mafunzo ya umaskini.Ndo maana ya kwenda BTP, sasa unalalamika nini? jikaze subiri mpaka 2015 mtapewa kazi ya kusimamia uchaguzi na NEC,ndo posho pekee ya ualimu. Hakikisheni CCM inashinda tena ili madai yetu yaendelee kuwa malimbikizo.
poleni sana walimu,lakini nchi hii ndo ilivyo!wakubwa wanabeba wanatia kwenye mifuko yao!kuwa kama sisi wanasheria!Wadau kama mjuavyo walimu tumepata ajira tulizozisotea kwa takriban miez 6,
suala la hela ya kujikimu limekua ni siri kubwa, ukienda halmashauri, ukiomba waraka unaonekana "NUKSI", ivi kwanini hili jambo n la siri mno???
Haki yetu kupata taarifa, sio kama waajiriwa lakn pia km waTZ, Inakuaje jaman? Daah!
"walimu tuna hali ngumu"
Hakikisheni CCM inashinda tena ili madai yetu yaendelee kuwa malimbikizo.
Kuhitimu ualimu si kuhitimu umaskini, kama una research evdenc ntakubali!
Jambo la kujuzana n kwanini hili jambo n la siri mno?
Neno zito hili ndugu! Hivi waalimu mlivyo wengi tz mkitunisha msuli kuwa mpewe haki yenu la sivyo CCM hamuichagui itakuwaje? Msimtegemee Mkoba, anakula pepo akingojea viti maalum vya wanaume nae akwae uwaziri!
Na bado.
Hivi si ndio ww umesema mwl mpya umepangiwa Tandahimba? Ukaomba mbadilishe na mtu wa Makolosi ili uufuate mchuchu wako? Inakuaje leo unaandika kitu cha namna hii? Watu tuna kumbukukumbu nzuri hebu kanusha kauli hii
mkuu umeona watu walivyo wapuuzi.